PICHA ZA UKWELI

Ujenzi Na Upanuzi Wa Barabara Ya Mwanza- Musoma Washika Kasi





Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwanza hadi Musoma umeshika kasi na sasa barabara hii inaelekea kuingia mjini Musoma, mpaka asubuhi ya leo shughuli hii ilikuwa imefikia eneo la baruti nje kidogo ya mji wa Musoma hili ndiyo eneo la Baruti. (Picha kwa hisani ya .www.wotepamoja.com)
Eneo la Kariakoo, Bweri asubuhi ya leo.

No comments: