PICHA ZA UKWELI

MAGARI WALIYOZAWADIWA WACHEZAJI WAPYA WA MANCHESTER UNITED NDIO HAYA.

Shinji Kagawa na Nick Powell
Mjapan Shinji Kagawa amezaliwa miaka 23 iliyopita na club yake ya mwisho kuichezea ni Borussia Dortmund na kaifungia magoli 21 kwa miaka miwili aliyokaa nayo na amezichezea timu za taifa toka mwaka 2006, Powell yeye ameichezea Crew Alexandra kwa miaka miwili na kuondoka na magoli yake 16, Timu za taifa za England amejiunga nazo toka 2009.
Waandishi wa habari kama kawa.

No comments: