
  Kaimu
  mkuu wa mkoa wa Ruvuma Joseph Mkirikiti akimkaribisha  Rais mstaafu wa
  awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa katika uwanja wa ndege wa Songea.

  Meya
  wa manispaa ya Songea mstahiki Charles Mhagama  akisamiana na rais  
mstaafu wa awamu wa tatu Mhe Benjamin Mkapas baada ya kutua  mjini  
Songea

 Kaimu
  mkuu wa mkoa wa Ruvuma Joseph Mkirikiti kushoto akimuongoza Rais  
Mstaafu wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa kwenda kuangalia vikundi vya
  ngoma katika uwanja wa ndege mjini Songea.

Rais
  wa awamu ya tatu Mhe Benjamin Mkapa  akiangalia vikundi vya ngoma  
(havipo pichani)  katika uwanja wa ndege wa Songea akiwa na kaimu mkuu  
wa mkoa wa Ruvuma Mhe Joseph Mkirikiti. Katikati ni mwenyekiti wa CCM  
 mkoa Cornel Msuha kulia ni mama Anna Mkapa na wa pili kulia mke wa mkuu
  wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu Mama Afisa Mwambungu. 
No comments:
Post a Comment