

Mwanamuziki Jose Chameleone akiimba nje ya ubalozi wa Tanzania nchini Uganda


Baadhi ya watu mablimbali walioungana na Mwanamuziki Jose Chameleone

 Gari la Polisi likiwa nje ya Ubalozi Tanzania nchini Uganda

Mwanamuziki
  mashuhuri nchini Uganda Jose Chameleone akiwa nje ya jengo la Ubalozi 
 wa Tanzania nchini Uganda na mabango sambamba na wapambe wake  
akishinikiza apatiwe passport yake ambayo anadai inashikiliwa na  
Bwa.Erick Shigongo.Picha mbalimbali kama zinavyoonesha tukio hilo nje ya
  jengo la Ubalozi Tanzania nchini Uganda.Picha zaidi ingia kwenye www.facebook.com/josechameleone
No comments:
Post a Comment