RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI KUTOKA ADDIS ABABA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed
Ghalib Bilal katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku
wa Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19
wa wakuu wa nchi za Afrika
PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam Mhe Saidi Mecky Sadik na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal
katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa Julai
16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa wakuu
wa nchi za Afrika.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu
wa Wilaya ya Temeke Mhe Sophia Mjema. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya
Kinondoni Mhe Jordan Rugimbana na wa tatu toka kushoto ni Mkuu wa Wilaya
ya Ilala Mhe Raymond Mushi. Kulia ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib
Bilal katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa
Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa
wakuu wa nchi za Afrika
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib
Bilal na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik baada ya
kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere usiku wa
Julai 16, 2012 akitoketa Addis Ababa, Ethiopia, katika mkutano wa 19 wa
wakuu wa nchi za Afrika.
No comments:
Post a Comment