Rais Ellen Johnson Sirleaf Wa Liberia Awasili jana
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete na mgeni wao Rais Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia alipowasili Ikulu
jijini Dar es salaam leo kwa maongezi rasmi pamoja na dhifa ya kitaifa. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment