PICHA ZA UKWELI

HAPPY BIRTHDAY MZEE NELSON MANDELA

Nelson Rolihlahla Mandela.
Mzee Nelson Rolihlahla Mandela leo anasherehekea kutimiza miaka 94 tangu azaliwe. Mzee Mandela aliyewahi kuwa rais wa Afrika Kusini tangu mwaka 1994 mpaka 1999 alizaliwa Julai 18, 1918 na leo Julai 18, 2012 ametimiza miaka 94. Tunamtakia kila la heri mzee Mandela ambaye ametoa mchango mkubwa kwa bara la Afrika pamoja na nchi yake ya Afrika Kusini.

No comments: