Picha hapo juu ni Watoto
ambao huwa wanaomba barabarani pindi magari yanapokuwa kwenye foleni.
Hapa ni Maeneo ya mwenge vijana hawa wenye umri wa kwenda shule wakiwa
wameketi ndani ya hifadhi ya barabara ya ali hassan mwinyi maeneo ya
mwenge wakipiga story bila hata ya wasiwasi wa maisha yao endapo gari
litapita au kukosea njia
No comments:
Post a Comment