Manji akiwasili Makao Makuu ya Yanga.
  Saidi  Motisha akimkaribisha mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Yanga, Yusuf  Manji kuingia Makao Makuu ya klabu hiyo wakati wa usaili
  Mgombea  wa nafasi ya Uenyekiti wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji akiteta jambo na  mwanachama wa klabu hiyo, Bi. Rukia Mohamed Makao Makuu ya klabu Dar es  Salaam,  alikokwenda kufanyiwa usaili kwa ajili ya uchaguzi mdogo.
  Manji akiwasili Makao Makuu ya Yanga.
  Manji akizungumza na waandishi wa habari
  Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Yanga, Sarah Ramadhani naye akiingia wakati wa usaili

  Mgombea  wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga,  Clement Sanga (mwenye tai)  akiwa na mgombea wa nafasi ya ujumbe, Peter Haule baada ya kufanyiwa  usaili kwa ajili ya uchaguzi mdogo.
  Mgombea  wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa yanga, Clement Sanga (wa pili  kushoto) akiwa na baadhi ya wanachama wa Yanga baada ya usaili 
  Manji akiondoka baada ya kufanyia usaili na kamati ya uchaguzi.Picha na Habari na Mdau Francis Dande
No comments:
Post a Comment