PICHA ZA UKWELI

Hilda Edward ndiye Miss Dar Inter College 2012, MSANII DIAMOD BADO HASHIKIKI


DIAMOND PLATINUM; Nassib Abdul akitumbuiza kwa hisia, kibao Wema Wangu mbele ya jaji Wema Sepetu, ilikuwa tamuuu


Miss Dar Inter College 2012, Hilda Edward akipongezwa baada ya kushinda kwenye shindano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Makumbusho, katikati ya Jiji la Dar es Salaam usiku huu.
Hapa Hilda akipigana busu moto moto la pongezi na Miss Dar Inter College aliyevua taji Blessing Ngowi. Picha kwa hisani ya http://bongostaz.blogspot.com/
Hii ndiyo tano bora Kutoka kulia Veronica Yole, Sada Suleiman, Rose Muchunguzi, Jamila Hassan na Hilda Edward



Mrembo Diana Hussein (kati) amefanikiwa kunyakua taji la Miss Dar Indian Ocean kutoka kwa mwanadada Stella ambaye amemaliza muda wake, mwanadada huyu alifuatiwa na Kudra Lupatu (kulia) na Zulfa Vuai (kushoto). Shindano la Miss Dar Indian Ocean 2012 limefanyika ndani ya Kijiji Cha Makumbusho Dar es Salaam
Hawa ndiyo warembo wa Tano Bora wakiwa na Miss Dar Indian. Picha na Full Shangwe Blog)

No comments: