Baba Mzazi wa bondia Fransic Cheka , Bonifasi Cheka kulia akiwa  amemkunja baba mzazi wa Japhert Kaseba, Josepher Kaseba wakati wa  kuzungumza na waandishi wa habari Dar es salaam leo kuzungumzia  mpambanbo wa watoto wao utakaofanyika siku ya sabasaba katika uwanja  mpya wa Taifa
 Baba wa bondia  Japhert Kaseba, Josepher Kaseba kushoto akipeana mkono  na  Baba Mzazi wa bondia Fransic Cheka , Bonifasi Cheka wakati walipokuwa  wakizungumza na waandishi wa Habari Dar es salaam leo kwa ajili ya  kutangaza mpambano wa watoto waoi utakaofanyika siku ya Saba saba

No comments:
Post a Comment