PICHA ZA UKWELI

WAPO NYUMBANI KWETU KABISA



Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba akibadilishana mawazo na Wajumbe wengine katika Kijiji cha Veyula, Kata ya Makutupora, Dodoma Jumatano, Julai 11. 2012, kabla ya kuanza kwa mkutano wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya.

No comments: