PICHA ZA UKWELI

Rais Kikwete azungumza na Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini Kgalema Montlante

 Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini Kgalema Motlante wakati mgeni huyo alipomtembelea Rais. Kulia ni Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini Kgalema Motlante(kushoto) ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia nia Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal. (Picha na Freddy Maro)

No comments: