PICHA ZA UKWELI

RAIS KIKWETE AONGOZA BARAZA LA MAWAZIRI MJINI DODOMA LEO

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza kikao cha  Baraza la Mawaziri, kilichofanyika leo mchana katika ukumbi wa TAMISEMI, mjini Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza jambo na baadhi ya Mawaziri na viongozi waandamizi Serikali,  baada ya kumalizika kwa kikao cha Baraza la Mawaziri, kilichofanyika katika ukumbi wa TAMISEMI mjini Dodoma, leo mchana. Picha na IKULU

No comments: