Msanii wa Filamu Nchini, Jaqueline Wolper, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo, kuhusu pambano lake la ngumi na mpinzani wake, Wema Sepetu, pambano litakalokuwa moja kati ya mapambano ya utangulizi yatakayofanyika katika pambano la wakali, Francis Cheka na Japhet Kaseba, Katika uwanja wa Taifa siku ya sabasaba. Picha na Super D
Kocha wa bondia, Wema Sepetu, Bondia Rashidi Matumla, akizungumza kwa niaba ya Wema wakati wa kutambulisha pambano hilo leo.
Moja ya mabango ya matangao yanayonesha kuwepo kwa pambano kali la ngumi kati ya Francis Cheka na Japhert Kaseba, likiwa limewekwa makutano ya Barabara ya Uhuru na Msimbazi kwa ajili ya kuhamasisha Tamasha la matumaini litakalofanyika Katika uwanja wa taifa Dar es salaam, ambalo pia litapambwa na burudani kibao kutoka kwa wasanii mbalimbali.
No comments:
Post a Comment