Mkurugenzi
Mkuu wa shirika la nyumba la taifa (NHC) Nehemiah Kyondo Mchechu
akifafanua jambo wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari
katika mkutano wa shirika hilo kuhusu shughuli mbalimbali zinazofanywa
likimeo la miradi mbalimbali katika ujenzi wa nyumba za biashara katika
ukumbi wa Glonency Nane Nane mkoani Morogoro
Mhariri msanifu mkuu wa gazeti la mwananchi Communications Ltd (MCL) Rashid Kejo akichangia jambo katika mkutano huo.
Mkurugenzi
Miliki katika shirika la nyumba la taifa (NHC) Hamad Abdalla akifafanua
jambo kuhusu kitengo hicho wakati wa mkutano huo kulia ni Mhariri
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) Theophil
Makunga.
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Absalom Kibanda kushoto akizungumza jambo katika
mkutano wa shirika la nyumba la taifa (NHC) na wahariri wa vyombo vya
habari wenye lengo la kuwaelezea shughuli mbalimbali zinazofanywa na
shirika hilo likimeo la miradi ujenzi ya nyumba za biashara ambao
umefanyika mkoani Morogoron katika ukumbi wa Glonency Nane Nane mkoani
hapa, kulia ni Mhariri Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Mwananchi
Communications Ltd (MCL) Theophil Makunga.
Mhariri wa gazeti la Daily News, Marycelina Masha akichangia jambo katika mkutano huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemiah Kyando
Mchechu (kushoto), akizungumza na waandishi wa hariri wa vyombo vya
habari mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa shirika hilo kuhusu
shughuli mbalimbali zinazofanywa likimeo la miradi mbalimbali katika
ujenzi wa nyumba za biashara katika ukumbi wa Glonency Nane Nane mkoani
Morogoro.
No comments:
Post a Comment