Meneja wa Huduma za Tigo Internet (katika) Bw.Titus Kafuma akiongea na
waandishi wa habari , juu ya huduma ya Tigo
Jamaa ya kusaidia kuwaunganishia wateja wa wanaotumia mtandao wa Tigo
katika huduma za Inteneti kwenye simu
zao.(Kulia) ni Ofisa Uhusiano wa Tigo, Alice Maro.wa kwanza kushoto
mtaalam wa promosheni mahusiano na udhamini Bw.Edward Shila, mkutano huo
ulifanyika katika Hotel ya Holiday Inn jijini Dar es salaam leo.
Waandishi wa habari waliodhuria katika mkutano huo hapa kila moja akiwa makini kupata picha iliokuwa bora.
No comments:
Post a Comment