PICHA ZA UKWELI

ELIMU YA DINI INA LETA MAADILI MEMA KWA MTOTO

Mtoto mdogo akionyesha uwezo wake wa kuhifadhi Kurani Tukufu Maadili mema ya Watoto yanatokana na kujua Mafundisho ya Dini mbambali ,Nijuu ya Mzazi kumpeleka mtoto katika vituo vya dini ajifunze Maadili Mema
Watoto walio shiriki wakisoma Risala mbele ya Wazazi wa Manspaa ya Songea
wazazi wakisikiliza kwa makini mashindano ya usomaji wa kurani Tukufu
Wazazi mbali mbali wakiwa kwenye ukumbi wa Open unvesrt kusikiliza mashindano ya Usomaji wa kurani Tukufu

Kijana akisoma Kurani Tukufu aliyo hifadhi bila kuangalia kwenye Kurani Tukufu mbele ya halaiki ya wasikilizaji
Watoto wadogo waliokuja kushinda na wenzao kutoka madrasa Tisa za Manspaa ya Songea wakionekana katika Furaha
Watoto walio shiriki mashindano ya usomaji kurani katika mansipaa ya Songea
Wazazi wakiwa wamekuja kushuhudia mashindano ya kurani Tukufu katika ukumbi wa Open unvest katika manispaa ya songea

No comments: