Mwalimu Christopher Mwakasege mnamo tarehe 17-19 August 2012 anatarajia kuwa mnenaji katika Summer Conference 2012 itakayoyanyika nchini UINGEREZA jimbo la MILTON KEYNES.
Kongamano hili limeandaliwa na umoja wa Watanzania Wakristo waishio katika bara la Ulaya (CITE).
Kwa mujibu wa mmoja wa viongozi wa CITE, Mch Emmanuel Chatawe, CITE SUMMER CONFERENCE 2012 itafanyika katika ukumbi wa Oakgrove Leisure centre Brickhill Street Middleton Milton Keynes MK10 9JQ
Tarehe na muda:
17/08/2012 Time 2:00pm-9pm 18/08/2012 Time 10am-9pm 19/08/2012 Time 11am-7am |
Mawasiliano zaidi:
Rev. Chatawe 07944632826 Pas. Kimani 07522050673 Sis Jane 07522302935 Sis. Flora 07916160641 |
Chakula cha mchana kitatolewa Jumamosi na Jumapili kwa wote watakaohitaji kwa Paund 3(£3.00).
Nyote mnakaribishwa
No comments:
Post a Comment