Mtoto
Safina Mkwama amechapwa viboko na baba yake wa kambo kwa kutumia mwanzi
hadi mtoto akazirai. Kosa la mtoto lilitajwa kuwa ni kupoteza shilingi
800/= alizotumwa kuuza mahindi.
Safina Mkwama ananasema
anajuta kufariki kwa baba yake, kwani baba wa kambo anayeishi kwenye
nyumba waliyoachiwa na baba yao mzazi, anawatesa sana.
Mama mzazi wa Safina Mkwama akimpa mwanaye zoezi la kusimama kwa kuwa hivi sasa ni siku nne hawezi
majeraha yaliyotokana na kuchunwa na fimbo
Bathal Shawa mzazi anayetuhumiwa na Jeshi la Police kumpiga mtoto wake wa kambo hadi kupoteza fahamu
No comments:
Post a Comment