Mwenyekiti
wa Taifa wa Chama cha Wananchi, Profesa Ibrahim Lipumba (kulia), leo
saa 10 jioni atakwenda kumtembelea kumjulia hali, Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Madaktari Tanzania, Dk. Stephen Ulimboka ambaye amelazwa kwa matibabu
katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jana baada ya kutekwa na kupigwa na
watu wasiojulikana.Picha Na Richard Mwaikenda Blog
No comments:
Post a Comment