DODOMA MAKAO MAKUU YA NCHI YASIYO NA STENDI YA MABASI
Mnara wa mji wa Dodoma Hiki ndicho kichochoro cha wafanyabiashara wa mji wa Dodoma ambacho kinatumika kama stendi kuu ya mji huo Hii ni hali halisi ya stendi ya mji wa Dodoma kiukweli ni aibu Zipo taarifa kuwa serikali imeanza mchakato wa kujenga uwanja wa ndege wa kisasa ambao kwa kiasi kikubwa ni uwanja wa viongozi wa juu serikalini na watu wenye uwezo huku walalahoi wakiendelea kukosa mahali pazuri pa kushukia ambapo pangetumika kama stendi.
Habari zaidi utaisoma hivi punde hapa juu ya madai ya wananchi wa mji wa Dodoma
Nb.Nimetua mchana wa leo mjini Dodoma na nitakuwepo kwa zaidi ya siku mbili huku
No comments:
Post a Comment