Bodi kitia akiwasili Mkoani Pemba
Mmoja wa Viongozi wa UNHCR akiwa amembeba mtoto wa mmoja wa Wananchi waliokuwa Nchini Somali Wakimbizi walipowasili bandari ya
Mkoani kwa Boti ya Sea Bus.
Mkuu wa Mkua wa Kusini Pemba Juma Kassin Tindwa akisalimiana na baadhi
ya Wananchi waliokuwa Nchini Somali Wakimbizi walipowasili bandari ya
Mkoani pembe kwa Boti ya Sea Bus.
Rashid Abdalla Said, akitowa shukrani kwa Uongozi wa UNHCR NA Serekali
ya Tanzania kwa Ushirikiano na Serekali ya Somali na Serekali ya
Zanzibar kwa kuwafikisha Nyumbani kwa usalama akiwa katika bandari ya
Mkoani Pemba baada ya kuwasili Kisiwani Pemba hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment