Warembo wanaotarajia kupanda jukwaani kuwania Taji la Miss Vyuo Vikuu
2012, siku ya Ijumaa wiki hii katika Ukumbi wa Maisha Club, wakipozi kwa
picha ya pamoja nje ya Ukumbi wa Bunge, wakati warembo hao walipofika
kutembelea na kujifunza shughuli za Bunge mjini Dodoma Leo, Julai 03,
2012.
No comments:
Post a Comment