Ibada ya Kanisani imegeuzwa biashara.
Hayo yamedadisiwa katika Kanisa moja la Embakasi jijini Nairobi, ambapo inaaminika kuwa Mhubiri mmoja amejitafutia umaarufu kwa njia za ulaghai kwa kuhirikiana na makahaba kuwalaghai waumini.
Huyu hapa mpekuzi wa NTV, Mohammed Ali na taarifa ya utapeli kwa jina la Mungu.
ntv.co.ke
No comments:
Post a Comment