| Jaji mkuu wa EBSS Rita Poulsen na Salama Jay wakiwa na wafanyakazi wa banda la Zantel kwenye maonyesho ya kimataifa ya biashara ya SabaSaba. |
| MADAM RITA AKIKARIBISHWA KWENYE BANDA LA ZANTEL NA MKUU WA MASOKO BW. DEEPAK KUMAR GUPTA. |
| SALAMA J AKIPIGA PICHA NA MSHABIKI WAKE. |
| MADAM RITA AKIZUNGUSHWA BANDA LA ZANTEL SABASABA |
| MADAM RITA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI |
| MAJAJI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH, MADAM RITA, SALAMA J NA MASTER J WAKITOKA KWENYE BANDA LA ZANTEL. |
| MENEJA MAWASILIANO WA ZANTEL, AWAICHI MAWALLA AKIJIBU SWALI LILILOULIZWA NA MWANDISHI WA HABARI. |
No comments:
Post a Comment