PICHA 7 ZA NDEGE YA AIR TANZANIA MPAKA COMORO, IMERUDISHA SAFARI.
Shirika
la Ndege la AIR TANZANIA limerudisha safari zake kati ya DAR na MOROCO
ambapo sasa itakua inasafirisha abiria mara nne kwa wiki.
.
Mwimbaji
mkongwe nchini, Bi. Kidude, alikuwa mmoja wa abiria kwenye safari hii.
Kaimu Mkurugenzi wa Biashara ATCL, Bi. Mwanamvua Ngocho alichukua fursa
kwenda kumsalimia.
No comments:
Post a Comment