Mfanyabiashara wa maduka ya nyama(Bucha) eneo la Mwembetogwa mjini Iringa Sijali Nyomolela ambaye alipata ajali mbaya asubuhi ya leo ,amefariki dunia mchana huu msiba umetengwa nyumbani kwake Mwangata.
PICHA ZA UKWELI
MFANYABIASHARA WA NYAMA ALIYEPATA AJALI ASUBUHI LEO ,AMEFARIKI MCHANA HUU
Mfanyabiashara wa maduka ya nyama(Bucha) eneo la Mwembetogwa mjini Iringa Sijali Nyomolela ambaye alipata ajali mbaya asubuhi ya leo ,amefariki dunia mchana huu msiba umetengwa nyumbani kwake Mwangata.
No comments:
Post a Comment