WASANII WA KIGOMA WATOKA NA NU JOINT LINAITWA LEKA DUTIGITE
Wasanii
takribani wote wanaowakilisha mkoa wa Kigoma jana wameachia wimbo
wa pamoja unaoitwa LEKA DUTIGITE maana yake ni acha tujidai,
imetengenezwa na Tuddi Thomas na ndani yake kuna Diamond, Mwasiti, Ommy
dimpoz, Linex, Baba Levo, Recho, Peter Msechu, Banana, Makomando na
wengineo. sikiliza hapa chini
No comments:
Post a Comment