KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) YAPATA TUZO MAONYESHO YA SABASABA
Makamu
wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Balozi Seif
Ali Idi akimkabidhi Cheti pamojo na tuzo Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu
wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Shaban Mrisho baada
yaibuka washindi katika kipengele cha Teknolojia ya Habari na
Mawasiliano katika Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea
katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), wakiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Shaban Mrisho katika Maonyesho ya Sabasaba.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Amanda Luhanga akitoa ufafanuzi wa huduma wanazotoa kwa watu waliofika katika banda la TCCL wakati wa Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika barabara ya Kilwa, Dar es Salaam.
Ofisa
Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Thomas Lemunge akiwaonyesha
watu waliotembelea banda la TTCL Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano watu
waliofika katika banda la kampuni hiyo.
No comments:
Post a Comment