JUST IN: Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake
Mchana wa leo, Jumatatu,
Julai 9, 2012 Chama Cha Madaktari (MAT) kimewasilisha maombi ya ulinzi
kwa Viongozi wake na Dkt. Ulimboka (mwanachama wao) kwa Uongozi wa Umoja
wa Mataifa (UM).
No comments:
Post a Comment