PICHA ZA UKWELI

JK Akutana Na Kamati Ya Lowasa Ughaibuni

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa  Kamati ya Bunge ya Mambo ya  Nje, Ulinzi na Usalama Mhe Edward Lowassa baada ya kukutana nao jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na  wajumbe wa Kamati Bunge ya Mambo ya  Nje, Ulinzi na Usalama jijini London, Uingereza, Julai 12, 2012
Picha na IKULU

No comments: