PICHA ZA UKWELI

WEMA SEPETU AZINDUA FILAMU YAKE YA SUPER STAR

Mwigizaji Wema Sepetu akiingia ukumbini wakati wa uzinduzi wa filamu yake ya Super Star aliyoizindua kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro jijini Dar es salaam usiku huu, ikihudhuriwa na watu maarufu pamoja na wanamzuziki na waigizaji.


Wageni waalikwa mbalimbali wakishuhudia uzinduzi wa filamu ya Super Star iliyochezwa na mwana dada Wema Sepetu kwenye hoteli ya Hyyat Kilimanjaro

No comments: