Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii inapenda kuwajulisha wanafunzi wote waliohitimu vyuo vya afya nchini mwezi Machi 2012, kufika Wizarani ili waweze kuchukua barua za kupangiwa vituo vya kazi kabla ya tarehe 30 Juni, 2012.
Pia, waombaji wengine waangalie majina yao kwenye tovuti ya Wizara - www.moh.go.tz
Taarifa hii imetolewa
21/06/2012 na:
Regina L. Kikuli
Kaimu Katibu Mkuu
Source: http://www.wavuti.com
No comments:
Post a Comment