PICHA ZA UKWELI

IKULU:Rais Jakaya Kikwete Arejea Jijini Dar es Salaam Toka Dodoma

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Mecky Sadik leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere  akitokea Dodoma katika ziara ya kikazi.Picha na IKULU

No comments: