Attention ladies and gent's ,awa ni ni wanafunzi wa chuo kikuu cha dar-es-salaam wakiwa maeno ya campus ya kijitonyama siku ya jumamosi wakiwa wanatafakari baada ya mwalimu wao mpendwa "tutowafanyia fea"
kamawalivo sema kwakuwaambia atawapa "0" wote baada ya kumzingua
ni wanafunzi wa fani ya uhandisi wa mawasiliano,computer na umeme
No comments:
Post a Comment