PICHA ZA UKWELI

MAMBO VIPI WADAU

Leo ni siku nyengine tena ambayo kwa pamoja tunamshukuru MUNGU mwingi wa rehema kwa kutujalia kufika salama .OMBI langu  kweni WADAU wa BLOG hi ya ISO ni kuwataharifu kuwa tunaendelea kupokea maoni mbalimbali kuhusiana na vitu ambavyo tuna "vipost " hili tuweze kuiboresha blog yetu iendane na mazingira halisi
ya DUNIA tuliyopo, siyo mbaya kama ukifanya yafuatayo
      (i)nitumie jambo lolote au picha kwenye e-Mail yangu  izack44@yahoo.com ili niweze kupablish kwenye blog      
      (ii)tuma logo au matangazo yoyote ya biashara nasi bila kuchelewa tuta weka kwenye blog

No comments: